15 Septemba 2014 - 19:58
Iraq yasikitishwa na kutoshirikishwa Iran kwenye kikao kinachohusu Daesh huko Paris

Waziri wa mambo ya nje wa Iraq ameelezea majonzi ya taifa lake kutokana na kutoshirikishwa Iran kwenye mkutano wa Paris.

Waziri wa mambo ya nje wa Iraq ameelezea majonzi ya taifa lake kutokana na kutoshirikishwa Iran kwenye mkutano wa Paris.
akizungumza katika mkutano wa kimataifa unaozungumzia amani ya Iraq ulofanyika leo septema 15, Ibrahim al-Jaafari amesema kuwa:Iran ilitakiwa kualikwa kwenye kikao hiki kwani iko ni jiran wa nchi zinazoathiriwa na Magaidi hawa wa Daesh, pia Iran imekuwa ikitupa msaada wa kupambana na magaidi hawa.
Iran inasadikiwa kuwa ni moja kati ya nchi zenye nguvu na nafasi kubwa ya kulinda amani mashariki yakati.

Tags